No wild life remain unnoticed in these Landcruiser safari vehicles. We offer latest safari vehicles for your advanturous African safari in Tanzania game reserves. We have skilled and experienced English speaking drivers & guides
Kampuni Ya Kukodisha magari Bright ni chaguo sahihi katika kusafirisha wageni wako iwe kwenda kwenye mikutano au matukio muhimu. Tutakupa huduma iliyo bora yenye usiri mkubwa
Bright Car Rental is your partner in high class chauffeured services In Dar es salaam. Choose from a wide selection of vehicles ranging from luxury vehicles to classic vehicles, we have every type of car available to meet your needs. We also take custom orders and will help you acquire a specific car
We are proud to present the ‘Premier’ Collection of beautiful & prestigious vehicles to hire ranging from the most luxurious modern wedding cars through to the 50’s & 60’s classic cars and way back to the age of vintage motoring.
Toka Au Kwenda uwanja wa kimataifa ya J.K.Nyerere kwa magari yetu ya kukodisha kwa bei poa. Tunakodisha magari kwenda maeneo ya mjini na hata nje ya jiji la Dar es salaam
Tunapangilia huduma za usafiri za wafanyakazi kuanzia kuwapeleka kwenye vikao maalum hata usafiri wa kila siku makazini. Kupitia magari yetu ya kukodisha, kama vile Alphard, Coaster, Landcruiser n.k. Tutafanikisha hilo kwa weledi mkubwa
Suluhisho lako la magari ya kukodisha Dar es salaam na kusafiri Tanzania nzima kwa ujumla iwe kwa safari ndefu au fupi madereva wetu wapo tayari kukuhudumia